


MON FM RADIO KASULU KIGOMA
Moja kati ya mashabiki na wapenzi wanaofuatilia Mon FM Radio 100.5MHz wakiwa katika pozi la picha ya pamoja

KASULU IMESIMAMA
Hao ni baadhi ya mashabiki wa soka wilayani Kasulu mkoani Kigoma wakifuatilia kandanda katika uwanja wa Umoja Kasulu linakopigwa soka…

MON FM STAFF KATIKA PICHA NA TCRA KANDA YA ZIWA
baadhi ya wafanyakazi wa Mon FM Radio wakiwa katika picha ya pamoja na maneja wa TCRA kanda ya ziwa Mhandisi…

UZINDUZI- MON FM SUPER CUP
Mkuu wa wilaya ya Kasulu Kanal Isac Mwakisu katika picha akiwa na meneja wa Mon FM Radio Erasmus Luziro katika…





MON FM SUPER CUP 2025 MAKUNDI
Makundi ya timu zinazoshiriki michuano ya MON FM SUPER CUP 2025 Wilayani Kasulu
- 1
- 2