Askofu wa kanisa la Anglikana diocess ya western Tanganyika mhasham Charles Bwatta akiwa katika picha ya pamoja na staff wa Mon FM Radio baada ya kufanyika zoezi la kuwasha maiki za Mon FM Radio lililofanyika October 7,2024 ikiwa ni ishara ya kuanza rasmi kwa matangazo ya Mon FM Radio 100.5MHz Kasulu
MON FM YAWASHA MAIKI
