Mkuu wa wilaya ya Kasulu Kanal Isac Mwakisu katika picha akiwa na meneja wa Mon FM Radio Erasmus Luziro katika uzinduzi wa MON FM SUPER CUP 2025
Uzinduzi huo ulifanyika July 25, 2025 katika uwanja wa Umoja mjini Kasulu majira ya saa kumi na moja jioni.